Gari dogo aina ya Cresta,mida ya mchana wakati kijana nikirudi home nikalikuta limeingia katika ukuta wa Stationary mitaa ya TTCL na kuzongewa na watu kibao waliokuwa hawajawahi kuona gari kuonga ukuta...
Al JUMA Secretarial ndio ofic iliokumbwa na maswahibu hayo...Sijui km kuna majeruhi au aliepoteza maisha...
wanatabora wasiokuwa na kazi wakiwa wamezongea eneo la tukio kupata umbea unaoendelea.....
Chanzo:Mpita Njia